DOWNLOAD THE MOVIE NOW


Show ya Alikiba ndani ya Muscat Oman

FAHAMU: Usiku wa jana Tarehe 8/02/2019 Msanii wa muziki wa kizazi kipya pia CEO wa Kings Music Records Alikiba alikuwa na bonge moja la shoo kule Muscat Oman. Show iyo ya King Kiba iliudhuriwa na watu mbalimbali waarabu na watanzania wanaoshi OMAN. Alikiba alifanikiwa kujaza na alifanya show nzuri, Tumefanikiwa kuzipata baadhi ya clips video za show hiyo na nimekusogezea apo uzitazame then unipe maoni yako. Kwa perfomance iyo una Max ngapi King Kiba Our Social Media links Twitter https://twitte

FILE INFORMATION
Name Show ya Alikiba ndani ya Muscat Oman
Channel
Ophoro Tube
Views 80,572
Like 1k
Duration 07:06
Uploaded On 09 February 2019